Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Ni uamuzi wako, kuachwa kupo, huna haja ya kumuadhibu kiasi hicho, kila kitu kina mwisho wake, cha muhimu muwe tayari kuridhia.Nimetoka dukani asubuhi hii kunua kanzu yangu nzuri na kibaragashia kwa ajili ya ijumaa ndugu zanguni.
Nimeaga naenda kanisani misa ya saa 12, kumbe nilipita zangu kwa washikaji zangu kina Rama, kupata A, B,C. za maeneo yapi wanauza kanzu za bei chee.
FB, nimeshabadilisha jina siku hizi najiita Omar bin Shafii. badala ya jina langu halisi Nebuchadnezzar John.
Marafiki wanaonifahamu wameshituka sana.
Jana jumamosi kuna wanajumuia yetu wamekuja kututembea hapa home ili kujua kinachoendelea. Wameimba nyimbo na kufanya sala ili kama ni mapepo yatoke maana sio kitu cha kawaida kubadilika kiasi hicho. Kuua soo niliwaahidi kurudi nyuma na kutazama mapito ya zamani.
Najua hamtaamini ila ukweli ni kwamba, siku hizi sinywi pombe wala situmii kitimoto. Hii ni kitu haram, Kitab kitukufu kinakataa.
Haki ya nani siku Aisha ukiniacha lazima nikuteketeze kwa gunia sita za mkaa.
#KingNebu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetoka dukani asubuhi hii kunua kanzu yangu nzuri na kibaragashia kwa ajili ya ijumaa ndugu zanguni.
Nimeaga naenda kanisani misa ya saa 12, kumbe nilipita zangu kwa washikaji zangu kina Rama, kupata A, B,C. za maeneo yapi wanauza kanzu za bei chee.
FB, nimeshabadilisha jina siku hizi najiita Omar bin Shafii. badala ya jina langu halisi Nebuchadnezzar John.
Marafiki wanaonifahamu wameshituka sana.
Jana jumamosi kuna wanajumuia yetu wamekuja kututembea hapa home ili kujua kinachoendelea. Wameimba nyimbo na kufanya sala ili kama ni mapepo yatoke maana sio kitu cha kawaida kubadilika kiasi hicho. Kuua soo niliwaahidi kurudi nyuma na kutazama mapito ya zamani.
Najua hamtaamini ila ukweli ni kwamba, siku hizi sinywi pombe wala situmii kitimoto. Hii ni kitu haram, Kitab kitukufu kinakataa.
Haki ya nani siku Aisha ukiniacha lazima nikuteketeze kwa gunia sita za mkaa.
#KingNebu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule jmaa sio waliienda kumtoa yeye mhanga kweli[emoji2][emoji2]Umenikumbusha kuna mtu aliwahi kujiapiza kulipiza kisasi humu
Akaainisha miakakati yake ya kulipiza kisasi, hatua kwa hatua
Na akaahidi kuleta mrejesho, mpaka kesho hajulikani huyu mwamba aliishia wapi
Wewe huna tofauti na wanaosomesha wachumba, wanaojengea wajumba kwenye viwanja vyao... Siku nikisikia ulijinyonga sitashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Fact mimi Kuna mwanamke huwa akisema kitu fasta natekeleza mana huwa nikiomba utasikia njooNi rahisi sana kwa mwanamke kuugeuza moyo wa mwanaume.
MTU mmoja akasema, nivigumu kumsahau, kutomsikiliza, mwanamke anayekupa Papuchi tani yako.
Nadhani Mnaanza Kuelewa sasa
Hivi unajua hata mimi nina mpango huo?[emoji23][emoji23]Nimecheka
Kumbe umebadili kwa ajili ya bi aisha
Mzee kama haujabadili kutoka moyoni mambo ya dini achana nayo tu rudi ulipokuwepo