SPANISH CP
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 465
- 230
Ni ktk hospitali ya mkoa Mt.Meru Arusha,asubuhi na mapema wainjilisti na waombezi wanajazana ktk wodi za wagonjwa kelele tupu,uongozi wa hospitali uliangalie vyema hili ni usumbufu kwa wagonjwa.

wewe ndo una mapepö, watu wako desperate wanataka kupóna wewe unaongea ovyo hujalazwa wewe.
Ni ktk hospitali ya mkoa Mt.Meru Arusha,asubuhi na mapema wainjilisti na waombezi wanajazana ktk wodi za wagonjwa kelele tupu,uongozi wa hospitali uliangalie vyema hili ni usumbufu kwa wagonjwa.
ushindwe ktk jina la YESU tena wewe ni shetani huwezi kuzuia ujumbe wa MUNGU kwa wagonjwa kaa kimya ufumbe kinywa chako ulaaniwe
Mbuzi wewe unakurupuka kama umeguswa kijambio chako.
Mimi sijakataa maombi nimesema utaratibu wa kupiga makele wakati wa maombi.
mwehu wewe .,utawezaje kuomba kama hujatoa sauti au wenzako wanakupumulia nyuma
Tatizo si maombi tatizo ni maombi kwa makele kwani haiwezekani ikawa kimya kimya?
Hebu fikiria wale wengine wakija na madufu yao wakaanza kupiga humo wodini kutakalika?
Kwakweli ni usumbufu,kuna jirani yangu mmoja aliombewa kwa kutikiswa kichwa mpaka kizunguzungu.
ushindwe ktk jina la YESU tena wewe ni shetani huwezi kuzuia ujumbe wa MUNGU kwa wagonjwa kaa kimya ufumbe kinywa chako ulaaniwe
Kama maombi yanasaidia mbona sala kila siku ya Mwenyekiti wa Bunge la katiba Samuel Sitta imeshindwa kuwarudisha UKAWA ndani ya Bunge?,,maombi hayana lolote zaidi ya imani tu sawa na wale wagonjwa walioenda Loliondo kwa Babu na bado sasa hivi ni wagonjwa kama zamani na wengine tayari ni marehemu kitambo tu!
ushindwe ktk jina la YESU tena wewe ni shetani huwezi kuzuia ujumbe wa MUNGU kwa wagonjwa kaa kimya ufumbe kinywa chako ulaaniwe
Tatizo si maombi tatizo ni maombi kwa makele kwani haiwezekani ikawa kimya kimya?
Hebu fikiria wale wengine wakija na madufu yao wakaanza kupiga humo wodini kutakalika?
Huko ni wainjilisti Temeke na Tumbi na kwingineko ni mashekhe na waumini wao na wakiingia huko ndani ni mengi yanafanyika!!wengine wanataka hadi nguo yeyote yenye damu waondoke nayo.Naomba tusichafue hali ya hewa wenye dini zenu Mungu awape hekima na kuvumiliana.hujaumwa serious wagonjwa wenyewe ndo wanataka wangekuwa walalazimishwa hapo sawa