Haya maneno yamenichoma sana na kujiona sina thamani katika hii Dunia

Yani ungeomba ushauri mapema ilitakiwa muda ule ulee umjibu.. NDIO MAANA HATUPO WAWILI DUNIA NZIMA SAFARI NJEMA. alafu baada ya hapo usijibu msg yoyotee uwanaume ni kujikaza kiume kumuonesha demu hana uspecial wowote kwenye maisha yako huwa wanaumia mara 10 zaidi.
 
1. wakati anakutafuta alikua kwenye mgogoro wa kimahusiano, kwako alikua anatafuta kuondoa ukiwa tuu, na aligundua ulikua unampenda awali ndo maana akachagua achati na wewe.. 2. wakat anakwambia inatosha hataki mawasiliano na ww tena, amerudi kwa jamaa yake, hivyo hataki aonekane anacheat... 3. badili unavyoviona si sahihi kwako, acha ngono, zidisha ibada, kula vizuri, fanya mazoezi, kuwa msafi, na vaa kisasa na kwa adabu.. utampata utakae ridhika nae
Mkuu? Wewe ni psychology eeh
 
Bruh...ushaurii wangu ebu tafuta kwanza hela then mapenzi ndo yafuate...najua inauma ila ndo hivo ashakutema tyr so kaza roho we wakiume ila don’t forget #TAFUTA HELA
Hela natafuta mkuu,,ndiyo maana aliponiomba nimuunganishe Bundle nilifanya hivyo,,sasa sijui pengine huyo boya anamuhonga bakubwa
 
Yani ungeomba ushauri mapema ilitakiwa muda ule ulee umjibu.. NDIO MAANA HATUPO WAWILI DUNIA NZIMA SAFARI NJEMA. alafu baada ya hapo usijibu msg yoyotee uwanaume ni kujikaza kiume kumuonesha demu hana uspecial wowote kwenye maisha yako huwa wanaumia mara 10 zaidi.
Ahsante Mkuu kwa kunifariji
 
Mshukuru Mungu kwa kukuweka wazi, endelea na maisha yako.
Lakini swali linakuja,,kama kweli sikuwa na umuhimu kwake,,kwanini aliforce kuwa karibu na mimi,,,nakupelekea kunijali kiasi kile

Kuna muda aliniambia Nisije kuthubutu kumsahau kwenye maisha yangu
 
Lakini swali linakuja,,kama kweli sikuwa na umuhimu kwake,,kwanini aliforce kuwa karibu na mimi,,,nakupelekea kunijali kiasi kile

Kuna muda aliniambia Nisije kuthubutu kumsahau kwenye maisha yangu
Imeshatokea hamna jinsi songa mbele.
 
Mtoto alinielewa mkuu hadi kufikia kuhoji ninapokaa,,nafanya kazi gani na pigo nyingine nyingi tuu ambazo za kimapenzi

Hasa akikuuliza hivyo ndio kakuelewaa

Ngoja ni kwambie kitu hiyo ni hali tu ya msisimko wa hisia kwa mwanamke anapomuonaa mwanaume mpya akamvutia huwa anamtamani halafu ile tamaa inapoteaa na huwa tunaonyesha kuwajali tu

Wewe nakufananisha na kijana mmoja yeye alifikia mbali sana mpk kunitambulisha kwao kiufupi yule Kaka huwa namchukia kwa kitu kimoja ana kiherehere sikumtamkia kuwa nampenda na wala sikuwa nampenda tulikuwa temezoeana tu na mimi nilivutiwa na muonekano wake na kazi anayofanya ikanifanya niwe karibu nae kozi nilikuwa napenda story zake za kazini alizokuwa ananihadithia

Kiufupi alining’ang’ania sana mpk kunigombanisha na ndugu zake ambao tulikuwa vizuri tu

So usimlaumu huyo dada wewe ndio ulijiongezaa yeye wala hakukwambia anakupendaa
 
Sawa mkuu,,ingawa huo ushauri wa huko juu siwezi kufanya
sawa, mkuu,ushauri wa hapo juu tunauweza si manunda ,huyo binti hatanisahau milele.maana alifika anakaa kitandano .nikasimama ni kawa nazuga baadaye akaona nafungua zipu akastuka nika mwambia sina haja na wewe mama tulia tu.akaona naanza kupiga nyeto huku nikilia kwa utamu ni kisema nyeto mtamu kuliko wana wake wote kuona hivyo akataka atoke uzuri nilikuwa nimebana mlango na funguo hivyo alishuhudia sho mpaka mwili ,niliendelea kupiga nyeto mpaka mwisho nikamwaga mbele yake kwa nguvu na kusema hela yangu umeponaaaa!? aliumia sana tena sana ndipo nikafungua mlango ni kasema haya nenda tangu siku hiyo alijiona nini sijui,akaanza ohh unajiharibu wakati nipo...siku nyingine alijileta mwenyewe ni kamgonga.
 
Lakini swali linakuja,,kama kweli sikuwa na umuhimu kwake,,kwanini aliforce kuwa karibu na mimi,,,nakupelekea kunijali kiasi kile

Kuna muda aliniambia Nisije kuthubutu kumsahau kwenye maisha yangu

Kwani kuwa karibu ndio mfikie huko kwenye kuwa wapenzi

Yaani wewe ni mdhaifu sana na ukiendelea hivi utakosa madili sana Kama kuwa karibu na mwanamke unawaza ngono tu
 
sawa, pamoja mkuu,ushauri wa hopo juu tunauweza si manunda ,huyo binti hatanisahau milele.maana alifika anakaa kitandano .nikasimama ni kawa nazuga baadaye akaona nafungua zipu akastuka nika mwambia sina haja na wewe mama tulia tu.akaona naanza kupiga nyeto huku nikilia kwa utamu ni kisema nyeto mtamu kuliko wana wake wote kuona hivyo akataka atoke uzuri nilikuwa nimebana mlango na funguo hivyo alishuhudia sho mpaka mwili ,niliendelea kupiga nyeto mpaka mwisho nikamwaga mbele yake kwa nguvu na kusema hela yangu umeponaaaa!? aliumia sana tena sana ndipo nikafungua mlango ni kasema haya nenda tangu siku hiyo alijiona nini sijui,akaanza ohh unajiharibu wakati nipo...siku nyingine alijileta mwenyewe ni kamgonga.

Huyo nae boya mimi ningekurekodi nikupost kwenye group za dadaz tupate story

Labda ukutane na mpenda ngono ila ukikutana na kina sisi hisia zipo tukuyu mwili upo daslama utajiaibisha tu sanasana mimi naenda kukutangaza kwa watu husimamishi mpk upige nyetoo
 
Habari wakuu

Baada ya vuta nikuvute ya mimi na huyu binti nilietokea kumpenda sana, hatimae kanifungukia na kusema eti Hata kama tungebaki mimi na yeye kwenye hii Dunia abadani hawezi kuwa namimi kimapenzi.

Akaenda mbali zaidi na kusema kwamba yaani hakuwahi kunipenda hata siku moja ila tu alikuwa ananiinjoi..

Wakuu kitu kinachonishangaza huyu binti yeye mwenyewe ndiye alianza kuniomba namba za simu baada ya hapo salamu za usiku mwema zikawa haziishi na alikuja kunichanganya zaidi pale alipoanza kuniita wangu.

Nikajikuta mtu mzima nafungua mlango wa Moyo wangu na ikapelekea asiponitumia sms ya kunitakia usiku mwema au nikimtumia mimi ajibu basi najikuta nakosa amani kabisa.

Wakuu kwakifupi huyu binti alitokea kunielewa sana ingawa sijawahi kufanya mapenzi nae, ila nashangaa ghafla kabadilika.

Juzi kati hapa nashangaa akanitumia Sms kwamba kuanzia sasa ni stop kumtumia sms yaani nimchukulie Kama Normal person, haya maneno yaliuchoma Moyo wangu sana nikajikuta mwili wote unatetemeka na kufa Ganzi.

Nilipojaribu kumuhoji ndipo akaniambia hayo maneno hapo juu, kuwa hawezi kuwa na mimi hata kama tungebaki wawili Duniani, haya maneno yamerarua moyo wangu sana ndugu zangu nakujiona sina thamani kabisa katika hii Dunia.

Wakuu wapi nilifail? nipo katika kipindi kigumu sana, yaani mtu niliempenda kazidharau namna hii, inauma sana, chakula nakiona Shuburi, usingizi wa mang'amung'amu yaani nateseka sana.
nenda jkt ukajifunze uzalendo na ujanja:D:D
 
Mnapata wapi nguvu ya kupenda MTU hivyo!
Jitahidi kupotezea,utapata mwingine,cha msingi mlambe block kila kona.
Move on....
Si kila ombi hukubaliwa,relax dogo.
 
Hasa akikuuliza hivyo ndio kakuelewaa

Ngoja ni kwambie kitu hiyo ni hali tu ya msisimko wa hisia kwa mwanamke anapomuonaa mwanaume mpya akamvutia huwa anamtamani halafu ile tamaa inapoteaa na huwa tunaonyesha kuwajali tu

Wewe nakufananisha na kijana mmoja yeye alifikia mbali sana mpk kunitambulisha kwao kiufupi yule Kaka huwa namchukia kwa kitu kimoja ana kiherehere sikumtamkia kuwa nampenda na wala sikuwa nampenda tulikuwa temezoeana tu na mimi nilivutiwa na muonekano wake na kazi anayofanya ikanifanya niwe karibu nae kozi nilikuwa napenda story zake za kazini alizokuwa ananihadithia

Kiufupi alining’ang’ania sana mpk kunigombanisha na ndugu zake ambao tulikuwa vizuri tu

So usimlaumu huyo dada wewe ndio ulijiongezaa yeye wala hakukwambia anakupendaa
Kweli ulichosema Mkuu wangu,,,kuna Reaction za kimapenzi alizionyesha pindi tukiwa karibu,,unajua macho na sura ndiyo viungo vimebeba Hisia zote pindi inapomtizama Mtu,,,anyway tunajifunza kutokana na makosa
 
Back
Top Bottom