haya mambo bwana

haya mambo bwana

tunalazimika

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
1,098
Reaction score
259
kama kawa ya jumapili hapa dsm, ni vikao vya harus tu_kikao chetu kipo hapa Kilwa Road Pub_basi kaingia mshikaj mmoja kaulamba kweli na funguo zake za usafir_hata kabla hajaanza kuzungumza utajua mshikaj ana nyodo za kufa mtu_kasimama mpaka waiters wanamtafutia kiti chake_ghafla anawagombeza kuwa kiti hakijasafishwa vizuri_kwa ujumla hapa ananyenyekewa lakn jamaa haonyesh kuthamin_jambo hili kwa kwel linanifanya nitaman kumfuatilia_jamaa kabwaga funguo zake mezan na kuanza kujitandaza kifahar_Wakati nikijaribu kumtazama Viatu vyake_napigwa na butwaaa_mshikaj kavaaa Soksi zimechoka kuliko maelezo, hazifanan na muonekano wake kabisa_hii ikanikumbusha kijijin, siku kama hukuvaa chupi halaf ghafla ukipata demu_hata akunganganie vp lazma ulazimishe kuahirika kwa match_au ile ya Mzambia na tai na koti kumbe shat limebak ukosi tu_jaman ukiwaona weng wenye nyodo wana mapungufu kibao_sijui kwa nn
 
mhh nawe unaangalia soksi za wenzio una lako jambo si bure
 
Huo mfano wako wa kijijini sijaelewa unahusika nini na huyo bwana. Any way... hakuna mtu mkamilifu, hata wewe una lako kasoro. Having said that, una namba ya sim ya huto mtu wa mambwembwe?
 
Huo mfano wako wa kijijini sijaelewa unahusika nini na huyo bwana. Any way... hakuna mtu mkamilifu, hata wewe una lako kasoro. Having said that, una namba ya sim ya huto mtu wa mambwembwe?
huha huha hhaaaa, af inawezekana ht huo usafr kaazima.
 
Siku hizi gari sio utajiri. Halaft we nae mpaka umechunguza soksi ulikuwa unatafuta nini
 
Siku hizi gari sio utajiri. Halaft we nae mpaka umechunguza soksi ulikuwa unatafuta nini

yaan kwa nyodo za mshikaj,yeyote yule lazima angetaman kumchunguza kwa kina_yaan nilipofanikiwa kuona soks za kuchanika_duh tukapata faraja
 
wanaume wengi soksi na anklechief utatamani ulieeeee hahahaaaa
 
Back
Top Bottom