mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Ukifungua habari kama hautakutana na habari ya vita vya wafugaji wakulima au ugomvi wa ardhi, habari ambayo hautaikosa ni mradi flani pesa kuliwa, kutokufanyika kwa wakati au kuisha lkn manufaa hayapo.
Nini kifanyike...
Nini kifanyike...