Haya Makinikia haya!!

mkuuwakaya

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
1,063
1,456
Wakati tunapeana mikataba makinikia yalikua na nini ndani? Na je wawakilishi wetu TMAA tuliwaweka inakuaje hatujawaamini wakat ni sehem yetu?Je mkataba unawataka waripot kila kilichomo?Hapa lazima apatikane mpatanishi na vipengele vya makinikia vipitiwe upya. Haya makinikia haya!
 
Back
Top Bottom