Haya majina ya shule vipi…?

Haya majina ya shule vipi…?

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,255
Walifikiria nini kuyaita haya
 

Attachments

  • 1426582157572.jpg
    1426582157572.jpg
    24 KB · Views: 862
Hizi shule
 

Attachments

  • 1426582324619.jpg
    1426582324619.jpg
    62.5 KB · Views: 692
Tusi si tusi mpaka ulitafsiri liwe tusi. Unguja kuna sehemu ukijata TEMBO watu watakushangaa, unatakiwa useme NDOVU
 
Hii nyingine
 

Attachments

  • 1426582392101.jpg
    1426582392101.jpg
    25.6 KB · Views: 621
Tusi si tusi mpaka ulitafsiri liwe tusi. Unguja kuna sehemu ukijata TEMBO watu watakushangaa, unatakiwa useme NDOVU

Kwahiyo ukiwa huko ukasema unatoka maeneo ya TEMBONI italeta vijimambo
 
Kuna shule inaitwa Senge Pr School
 
Mbona sawa inategemea wewe unatafsiri vipi kwenye kabila lako. Pia kuna majina ya watu amabyo watu wengine wanatafsiri vibaya. Mimi nimekumbana na jina la mtu anaitwa MKUNDUKUWAKA!!!!!.
 
Umenikumbusha ile shule ya msingi UFALA.aka ULOFA
 
Back
Top Bottom