Haya maji yana usafi kiasi gani?

Haya maji yana usafi kiasi gani?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Wadau maoni yenu
156439886.jpg
 
Nadhani ulikuwa na hoja ya maana lakini umeshindwa kutoa maelezo ya ufafanuzi, na picha yako haijitoshelezi kujifafanua
 
Kwa matumizi gani?
Kama chooni kujichambia ni 100%
 
Hayo unaweza kunywa vizuri kabisa. Water dispenser kawaida hua zina filter ndani, inachuja uchafu 99.9% kwa dispenser nzuri. Kama nje water dispenser unakuta iko connected na maji ya bomba kabisa sio hata ya kununua, yanakuja yanachujwa then mtu anakunywa, ya moto au ya baridi ni choice yako tu any time. Filter inabadilishwa kila baada ya miezi 6.
 
Nadhani ulikuwa na hoja ya maana lakini umeshindwa kutoa maelezo ya ufafanuzi, na picha yako haijitoshelezi kujifafanua
Pengine kweli. Haya maji yanapowekwa huwa yanabinuliwa. Sehemu ya kushikia hutumbukia ndani ya dispenser na hatujui aliyeshika pale eneo la mfuniko alishika wapi. Achana na corona, bali maradhi mengine. Binafsi naona huu mfumo sio mzuri sana
 
Hayo unaweza kunywa vizuri kabisa. Water dispenser kawaida hua zina filter ndani, inachuja uchafu 99.9% kwa dispenser nzuri. Kama nje water dispenser unakuta iko connected na maji ya bomba kabisa sio hata ya kununua, yanakuja yanachujwa then mtu anakunywa, ya moto au ya baridi ni choice yako tu any time. Filter inabadilishwa kila baada ya miezi 6.
Mbona kwetu ni zaidi ya miaka miwili hakuna service yoyote? Duh!
 
Back
Top Bottom