Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,720
Na utafeli, sio kana kwamba kuwa wa kipekee ni jambo baya, ila nimegundua binadamu daima huwaogopa watu wanaoonesha upekee.
Kwa sababu watu wanaoonesha upekee mara nyingi ni watu ambao wapo huru na ni watu wanaofanya mambo kulingana na vichwa vyao vinavowatuma. Ni watu wasioogopa.
Wakiwa shuleni ni watu wanaoenda na ratiba zao na wasiofata mkumbo, wakiwa kazini ni watu wachapa kazi na wasio na mda wa kupiga watu majungu.
Sababu hiyo ya hao watu kutokutabirika na hali yao ya upekee katika kuyaishi maisha yao, imejikuta imekuwa mwiba mkali kwa jamii ya kawaida (normal folks) na kwa sababu duniani normal folks ni wengi kuliko watu hao nnaowaita wa kipekee.. Imekuwa sasa mwendo wa kukatishana tamaa, chuki, kupigwa vita.. Na kufanyiwa hila za aina yoyote kuharibu direction.
Ukianza kuona tu marafiki wana ku snitch, kazini watu wanakuchukia chukia hovyo, ndugu wanakufanyia hila kwa sababu zisizo za msingi.. Uanze kujua we ni mhanga..
Mimi binafsi siwezi sema eti ni wakipekee sana ila kwenye maisha yangu yote nimekuwa nikijaribu kujiweka kipekee.. Na mpaka sasa hiyo miiba nimeishuhudia live live kwa marafiki, ndugu, na hata kazini..
Watu daima watakuchukulia wewe ni threat and they will never let you up.. Utashangaa kabisa lakini ndo ukweli wenyewe.
What to do?
- Play sucker to catch a sucker, Njia pekee ya ku survive miiba kama hiyo ya kukuzuia kufika unapotaka kufika, ni kuficha uerevu wako.. Waoneshe watu kwamba wewe sio potential threat. Ila deep down endeleza haiba yako ya upekee na uerevu na unapoamua kua attack fanya hivo full capabilities.
Hiyo ndo njia pekee ya kuwaponyoka hawa normal folks na miiba yao ya chuki, tukose wote, kifo cha wengi harusi, aah tumefeli wote, darasa zima limepata zero babaa, anajifanya mjanja, much know sana huyu.. Etc