Haya Maisha kuna wakati unapitia Mtihani mpaka unasema kwa Kulia

GenuineMan

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
7,068
Reaction score
16,380
Kuna mama,

Mshahara wake ni chini ya laki tatu, anaishi na watoto wa kijana yake ambae ashafariki.
Watoto bado wanasoma.

Basi yeye na mme wake wamepambana weee mpaka wamesimamisha nyumba ya kuishi huko mbele ya mbagala huko. Nje ya jiji la DSM.

Nyumba ni zakawaida tuu. Za kipato cha chini.
ile wameamia tuu hata miezi miwili haijaisha.

Ardhi ya lile eneo ikaanza kupasuka, nyumba nazo zitengeneza nyufa kubwa tuu.
Kila siku nyufa zinaongezeka.

NYumba ikawa haiwezi kukalika tena.

Imebidi warudi tena kwenye nyumba ya kupanga.
Fikiria mali, muda, damu na jasho waliyotumia kujenga nyumba halafu imekuwa ghofu ghafra.

Umaskini ni kama ndio shetani mwenyewe.
 
Daaah dadeki😭😭😭
 
Mwandege, Vikindu, Kisenvule ardhi yake ni mchanga mwingi hivyo ujenzi wake lazima uingie gharama kwenye msingi, baada ya kozi Nne na Linta bila hivyo nyumba inageuka chujio la chai.

Hapo sio umasikini ila kujenga bila kufuata kanuni
 
Niliwai kukaa Nyumba ambayo Haina madilisha ni pazia tu in December mvua zimekazana balaa ilikuwa ikifika usiku tunawaza na familia

Ile tumelala tu mvua ya upepo mkali hamna madilisha tunaamka tunashikilia mapazia na mikono kwakubana ukutani 🥺 uku mwingine akipiga deki maji yanayo pita chin ya mlango mpaka upepo utulie then tunakamua zile pazia

But alhamdullilah🤲🤲 yalipita yote kwa neema yake alie juu.
 
Umeshasema lazima uingie gharama kwenye msingi, baada ya kozi nne tena na hapo kuna lenta.
Hiyo yote ni pesa inahitajika.

Mtu wa kipato cha chini hizo fedha anazitoa wapi?

Umaskini hauna kanuni.
Ukiwa maskini huwezi kufuata kanuni
 
Niliwai kukaa Nyumba ambayo Haina madilisha ni pazia tu in December mvua zimekazana balaa ilikuwa ikifika usiku tunawaza na familia

Ile tumelala tu mvua ya upepo mkali hamna madilisha tunaamka tunashikilia mapazia na mikono kwakubana ukutani 🥺 uku mwingine akipiga deki maji yanayo pita chin ya mlango mpaka upepo utulie then tunakamua zile pazia

But alhamdullilah🤲🤲 yalipita yote kwa neema yake alie juu.
Na Mimi ndipo nashangaa mtu anakimbia nyumba yake kisa nyufa..?. 🤔🤔🤔
 
Kuna wakati unaweza kupitia changamoto nyingi ktk maisha mpaka ukajisemea Mungu kanifungia vioo nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom