Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,300
- 27,423
- Thread starter
- #21
Wewe unalipwa kiasi gani kucomment hapa?Mnakuwaga mnalipwa kiasi gani kuandika mambo ya kijinga kama haya?
Niki ana kipi ambacho unadhani kimetekelezwa hakikuwa kwenye mpango wa Wilaya ya Kisarawe?
Kipi hakikuwa kwenye plan ya Serikali kiasi kwamba Niki anastahili kupongezwa kwa kukikamilisha?