Haya madawati inabidi TBS wayakague

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
16,054
11,567
Wanafunzi-wakiwa-darasani..jpg
 
Kuna watu watakuja kubisha na kukushambulia kuwa hakuna hii hali hapa nchini. Kwa kweli hali ni mbaya sana katika sekta ya elimu.
Hili la madawati ni mojawapo tu ya matatizo lukuki. Sasa hapo watoto hawa wanawezaje kujifunza vema? Na mwisho wa siku NECTA wanakuja na mtihani mmoja kwa wote. Inauma sana.
 
yaani hiyo hali ipo mpaka shule za Advanced meza na viti akuna, nakumbuka nilipokuwa nasoma Advanced usipowai asubuhi kuchukua kiti na meza utasoma ukiwa umesismama, Siku ya mtihani unatafuta mbao au ubao ndo unafanya.
 
Back
Top Bottom