Haya maajabu

bila shaka hapo viongozi wa ukawa ndo watakua hatiani
 
Mkuu sitanii mwaka 2010 nilikua kikazi huko, kuna mshikaji wangu mmoja alikua askari polisi alikua anatoka na mke wa mtu, you can't blive mshikaji kapigwa na radi mchana kweupe na jua kali cha ajabu ile radi haikumuua ilimchania nguo tu
Hahahaaaaa!! Watu kiboko! Yaani radi inachananguo tu!
 
Mkuu sitanii mwaka 2010 nilikua kikazi huko, kuna mshikaji wangu mmoja alikua askari polisi alikua anatoka na mke wa mtu, you can't blive mshikaji kapigwa na radi mchana kweupe na jua kali cha ajabu ile radi haikumuua ilimchania nguo tu
Hio ni warning tu...
 
Kuna sehemu flani huko sumbawanga maeneo ya kilando wanauza mezani, kuna za buku, hadi buku 10
mkuu nipeleke nikanunue hiyo ya buku 10. natumai itakuwa kali kushinda y buku 1.
 
Mkuu sitanii mwaka 2010 nilikua kikazi huko, kuna mshikaji wangu mmoja alikua askari polisi alikua anatoka na mke wa mtu, you can't blive mshikaji kapigwa na radi mchana kweupe na jua kali cha ajabu ile radi haikumuua ilimchania nguo tu
Aisee
 
Huku Swanga kuna jamaa alikopa radi ya buku akaitumia akashindwa kulipa, Muuzaji akamwambia amrudishie radi yake na riba juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…