Haya maajabu

Huyu m-sure kanikumbusha, unaweza kupata mshangao au mshtuko hadi ukaanguka kwenye kiti!
 
Kuna sehemu flani huko sumbawanga maeneo ya kilando wanauza mezani, kuna za buku, hadi buku 10
 
kama sumbawanga naamini
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha sasa duuh. Nitanunua ya buku 10
 
Mkuu sitanii mwaka 2010 nilikua kikazi huko, kuna mshikaji wangu mmoja alikua askari polisi alikua anatoka na mke wa mtu, you can't blive mshikaji kapigwa na radi mchana kweupe na jua kali cha ajabu ile radi haikumuua ilimchania nguo tu
 
Hapo alipewa onyo tu ila akirudia tena atakuwa majivu aisee.
 
Mkuu sitanii mwaka 2010 nilikua kikazi huko, kuna mshikaji wangu mmoja alikua askari polisi alikua anatoka na mke wa mtu, you can't blive mshikaji kapigwa na radi mchana kweupe na jua kali cha ajabu ile radi haikumuua ilimchania nguo tu
mshkaji atakua Pogba huyo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…