kenshi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,976 Reaction score 1,973 Feb 13, 2016 #2 au ni mazingaombwe
nalb JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 438 Reaction score 619 Feb 13, 2016 #3 Duu hiyo kali yaani moshi wa pikipiki badala ya kutokea kwenye exizosti wenyewe unatokea somewhere, Hii inapaswa kuongezwa kwenye maajabu ya dunia
Duu hiyo kali yaani moshi wa pikipiki badala ya kutokea kwenye exizosti wenyewe unatokea somewhere, Hii inapaswa kuongezwa kwenye maajabu ya dunia
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Feb 14, 2016 #4 huo ni moshi asilia
Capitano JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 1,959 Reaction score 1,635 Feb 14, 2016 #5 kwani hiyo sio ekizositi?
BoGotta JF-Expert Member Joined Aug 21, 2015 Posts 740 Reaction score 674 Feb 14, 2016 #6 Ni hatari dereva bodaboda kutumia shisha wakati anaendesha.
tamimusalim JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 1,822 Reaction score 499 Feb 15, 2016 Thread starter #9 Abilia huyu simpandishi kama mimi wallaiiii!!!
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,456 Reaction score 1,569 Feb 15, 2016 #10 Wanakoma kwa harufu ya moshi wa njiani.
N Ndakilawe JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 4,815 Reaction score 2,832 Feb 15, 2016 #11 Ajab kabisa!
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 5,968 Reaction score 8,515 Feb 15, 2016 #12 PHOTOSHOP
matamauruke JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 348 Reaction score 211 Feb 24, 2016 #13 Mbona hifunguki?
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,207 Reaction score 15,880 Feb 24, 2016 #14 matamauruke said: Mbona hifunguki? Click to expand... Mkuu jichange ununue simu nyengine hizo techno zinazimwa mwezi wa sita(kidding)refresh itafunguka tu.
matamauruke said: Mbona hifunguki? Click to expand... Mkuu jichange ununue simu nyengine hizo techno zinazimwa mwezi wa sita(kidding)refresh itafunguka tu.
g vizy JF-Expert Member Joined Jan 5, 2016 Posts 933 Reaction score 1,034 Feb 24, 2016 #15 Kiini macho
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,768 Reaction score 86,455 Feb 24, 2016 #16 ohoooo..!! tabaka la ozon layer litabaki kweli kwa staili hii..?
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,898 Feb 25, 2016 #17 Moshi wenye manukato ya choo
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Feb 25, 2016 #18 matamauruke said: Mbona hifunguki? Click to expand... Kitasa kimebadilishwa....
matamauruke JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 348 Reaction score 211 Feb 25, 2016 #19 Sir_Mimi said: Mkuu jichange ununue simu nyengine hizo techno zinazimwa mwezi wa sita(kidding)refresh itafunguka tu. Click to expand... Mkuu hu mtambo wa ukweli sio magumamashi
Sir_Mimi said: Mkuu jichange ununue simu nyengine hizo techno zinazimwa mwezi wa sita(kidding)refresh itafunguka tu. Click to expand... Mkuu hu mtambo wa ukweli sio magumamashi
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,207 Reaction score 15,880 Feb 25, 2016 #20 matamauruke said: Mkuu hu mtambo wa ukweli sio magumamashi Click to expand... Hahahaha sawa kaka.