Ni dekoda ambayo unaweza ukatumia sim card na ukawa unaangalia dstv bila kulipia,wewe ni kujiunga kifurushi tu cha mwezi...anaejua vinapopatikana atujuze...kinaitwa hawk ni producct ya china.
Mbona DSTV nasikia wako makini sana,inawezekanaje waibiwe kizembe namna hii!

Ukipata mtu anayekwenda Congo muagizie kule vinapatikana hadi kwa sh 150,000/= ya kitanzania
Kesho naenda Congo, vipi nikipata nimtafute nani wa kunisaidia kuchakachua?