Hawavumi Lakini wamo

kuna mmoja walionyesha citizen akiwa anapigwa na mkewe barabarani ikabidi wananchi wamsaidie analia kama mtoto
 
Jamaa anasumbua nini hapo home? Lakini kama uko Toronto inabidi utafute na lawyer kabisa, manaake huko sheria msumeno.

Haahhaha hasumbui hata kidogo alhamdulillah ila tu najihakibiza kwa atakae ntafuta ugomvi......hahahah ulifkir nataka kumpiga my one and only?
 

Na huyu je kumbeeeeeeeee
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
 

Attachments

  • 1409071094008.jpg
    21.1 KB · Views: 98
Naishi na wakenya kiukweli ni wakorofi sana hata hapa nahisi wataniwinda
 
Maeneo gani mzee unaishi nao hao
 
halafu wanamwonekano (personality) nzurikama wale wanawake wa kaskazinichagga disease
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…