tembaisdor
Member
- Sep 19, 2011
- 29
- 7
. Kwani yy si hawara au anataka apewe heshima ipi?maana hawara siku zote anakubali hali 7b hana anachotafuta kwa mume/mke wa mtuKanijia rafiki yangu asubuh hii na mapema nimshauri kwa yaliyomkuta usiku wa jana, wana jamvini kabla sijamshauri naomben mawazo yenu, yy ni hawara wa mume wa mtu sasa jana kulikuwa na harusi ambayo jamaa alipaswa kwenda na mkewe, wakati akimpa updates za yanayojiri harusin kupitia mtandao kwa picha katumiwa pia picha za mke wa jamaa yake kam mbili tatu hivi, harawa kaona hajatendewa haki kutumiwa picha hizo, ndio ugomvi mkubwa ukaibuka, ndio shost kaja asubuh asubuh kuuliza je ni sawa? Je imekaaje, ushauri please !
Ni sawa, kwani yeye hajui kuwa ni mpango wa pembeni?
Haki gani anayodai au analostahili?
Pls sidhani kama tunatumia vyema nguvu na muda wetu kutoa ushauri kwa hawara. After all hawezi komiti syusaidi kwa hilo.
Huyo shosti wako ni hawara hivyo hana haki yeyote. Kwani yeye anajihisi kaolewa au? Mwambie asijichanganye akili, yeye ni wa kuchapa tu kama vile masikioni, makwapani, kuliwa tigo, kulambishwa koni, na usodoma mwingine autakayo huyo jibaba mshahara ni hilo pango la nyumba.