Tafuta pesa zako usimwombe za kwake[emoji2][emoji2]sijasema ni ndogo ila sasa mpk mtakapo onana maybe after 4 month ama 3
Sasa mimi ninapokuwa nina shida ukimuomba asemi sikupi anasema anakupa ila hatoiii
Hata vocha hajawahi nitumia mpk nimeachaa tena Kumuombaa
Alikutoa posho?Mbususa kashakula mbona [emoji1]
Kama umeamua kujivika mabomu we tulia tu🤣🤣🤣Kwaivo nikubali matokeo
Aaah kaka zako mizinguo🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaka zangu wamezingua pakubwa....
Sijapenda[emoji28]
Huyo atakuwa kamuacha mke wako uko kijijini kwenye migomba, vijana wakichaga wakija mjini hawaji na wake zao
Mbona mi wasukuma na waha wana complement sanaa?au maza alimuibia mzee nini?
hivyo ndivyo wachaga walivyo, usijali kabisaNimekuwa na mahusiano na kijana wa kichaga kwa mwaka 1 na miezi 10 ila sijawahi kupata yale mahaba yenyewe. Ukitoa zile siku za mwanzo ni za mahaba, ile miezi 3 ya mwanzo.
Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba.
Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.
Anaweza kukaa hata siku 3 hamjawasiliana na akikutafuta hamna hata stori.
Mwenzenu nimechoka natamani kupata mtu ambaye ana mahaba na mimi nifurahie.
Mpaka nimekumbuka Ex wangu alikuwa ananiita majina matamu hata kama ananidanganya.
Naombeni majibu-
- Ni tabia ya wanaume wa Kichaga?
- Ni Tabia ya mtu binafsi?
- Hanipendi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shoo yake ipoje maana dada zao tunawatunzia tu siri zao sijui kwa upande wa wakaka wa kichaga
Muda wa Kampeni umeshamalizika dada bado unataka aendelee kukudanganya anakupenda.
Embu njoo apa wewe nikubebishe mchanga mzaramo mie ukinipata utoniacha
Hivi huwa mnataka nini eti??[emoji849]
Muelezee hisia zako,mwambie utajiskia vizuri zaidi kama akikufanyia kitu hiki na hiki..akifanya anakupenda asipofanya atakuwa anakuvumilia tu
Wachaga wa Rombo ndiyo wazinguaji. Kibo Alex zinawakata stimu
Wewe ni spea tu kwake, jiongeze.
Ndio sifa za kichaga hizo hakuna hata chembe ya kumsagia kunguni.Unatongoza kizamani,kiboya boya,nenda Kama wewe kwa nini umsagie kunguni mchaga?
Mm ni mstaafu wa umma.Nimeanza kufanya kazi wakati wewe bado uko kwenye kiuno cha baba yako.We baba tafta hela mapenzi utayala?? ndo mana mkoa wenu upo upo tu kisa uzembe wa mapenzi sjui ..hebu fanyeni kazi mkuu
Huyo kama unampenda basi mvumulie maana hatabadilika kamwe.Hapana nampenda mchaga wangu nipe tu mbinu ya kumfanya nae awe romantic [emoji1787]