mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,606
- 4,393
Mimu
Hello sweetheart.
Pole na siku nzima. Umeshindaje honey?
Kwa niaba ya mchaga, nimekuita walau ujisikie vizuri. Vile umemiss, natumai siku yako itakuwa salama.


jingaaa 

Njoo kwa sisi watu wa Tanga ufaidi mahaba


hamkawii kuchambaa nyieeIlibidi iwe week moja tu baada ya kumuanua🤣🤣🤣Wasikudanganye,
Wote tupo ivo ivo, bora uyo alijitahidi miezi mitatu.
Njoo kanda ya Pwani achana na ujinga


Hao wanaochamba ni Wazaramo na watu kutoka Kojani! Sisi ni mahaba tu.hamkawii kuchambaa nyiee
Uko romantic pia lakini mamazungu?





Anakutimizia pesa?ya kitandani?😅 et mumySana tu… issue inakuja unamwita kimaha anakwita “my”
Ama Mumy
Sasa imagine uisome kama ilivoandikwaa
Wasikudanganye,
Wote tupo ivo ivo, bora uyo alijitahidi miezi mitatu.







Wiki tosha kabisa. Baada ya hapo mnapeana tano tu 🤝Ilibidi iwe week moja tu baada ya kumuanua🤣🤣🤣
Mkuu si anakuhudumia vizuri lakini?








