Hawana vichogo

ligalu16

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
94
Reaction score
21
sina haja ya kuleta mada hii kiuchonganishi... laa ila ninataka kujuzwa jambo...nina jamaa yangu mpemba hapa amenipa mpya kwa kusema ukitaka kumugundua mzenji basi muangalie kisogoni. Anasema kiasili wao hawana visogo kwa sababu kuu mbili alizonipa,mosi anasema wakiwa wadogo wanapakwa mafuta ya karafuu ambayo husababisha visogo kuwa flat,pili watoto hulazwa mikekani/mazulia maana asilimia kubwa hawana vitanda. Je wadau ni ya ukwel haya?
 
una hamu ya kuoteshwa busha weyee!??:shut-mouth:
 
ninachojua ukimlaza chali mtoto mwenye kichongo amabaye mchanga kinapungua au kinaisha kabisa na haijalishi mkekani au sakafuni full stop
 
Mungu katika qur- ani anasema nikuumbeni makabila tofauti na rangi tofauti ili mujuwane na mbira wenu ni yule amchae mungu ka hio binaadamu wote ni sawa na si kweli kua wanapakwa mafuta yabkarafuu na kulazwa chini kua ni sababu
 
Kwa hii sijafanya utafiti .
Utafiti niliokwishafanya ni kwa wanaume wasiokuaga na vijitako hata vya kunywea maji! "sepe nehi flat" hua shughuli imehamia front ! (kitu cha kushiba) ushawahi muona figganigga? Ndo mfano wao!
 
Last edited by a moderator:
ninachojua ukimlaza chali mtoto mwenye kichongo amabaye mchanga kinapungua au kinaisha kabisa na haijalishi mkekani au sakafuni full stop

mmmh hapo kuna ukweli na unaamini?kwanza hata mtoto mdogo akipiga chafya halafu mzazi anambana lips kisa mdomo utapanuka,unaamini kweli mtoto mdogo akipiga chafya bila kubanwa mdomo kinywa kitapanuka?
 
Kwa nini iwe kichogo tu, kwa hiyo kuna uwezekano hata ukiwa unamsimamisha mara kwa mara miguu nayo itafupika???

ninachojua ukimlaza chali mtoto mwenye kichongo amabaye mchanga kinapungua au kinaisha kabisa na haijalishi mkekani au sakafuni full stop
 

Sipo..
 
Nimependa upana wa mawazo yako...teh teh teh....Wamekalishwa chini sana!!!!lol

nimeishi nao na bado naishi nao...sasa sidhani Taifa zima walilazwa vichogo chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…