Kama tumeshindwa kuzuia ujangili bora tufundishe namna bora ya kung'oa pembe na meno bila kuwaua.. Hata ikiwezekana tutumie sindano za usingizi na ganzi na kila jangili lazima awe na daktari wa kufanya zoezi. Haya ni mawazo ya mwananchi wa kawaida asiye na uwezo wa kulinda hata ujangili kwa kuku wake wa familia. Je sawa???????