Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,139
hahahhaaaaa baba keagan anasemaaaaa nitakuwepoowewe kama mtu ukisikia anaitwa mlezi wa wasafi unategemea atoe ruhusa ya wachafu kufanya show kwenye himaya yake
Uko sahihi mkuu mond tu pekee yake anapiga show na inajaa hamna pa kutema mate sembuse kundi lote la wcb mawingu fm wajiandae kuaga mashindano na badooo kama noma na iwe noma wametunyonya sana hawa masifi.Lakini barua si imejieleza kuwa kutokana na malalamiko ya wagonjwa au? lakini mawingu wenyewe ni watu wafitina sana acha nawao yawakute na si kweli kwamba tamasha la Wasafi festival limepooza! hii si kweli amini nakuambia ile Team ya WCB tu inatosha kuutingisha kila mkoa na fiesta asiambulie ata nusu ya WCB kwenye show.
Kapige screen shot ulete hapa picha wwNenda Tweeter na mtafute Carol Ndosi.Barua hiyo ni ya kawaida sana ila cha kuangalia kwa macho manne ni pale Le Mutuz anapomwandikia Carol kwa niaba ya Mkuu wa mkoa,hapo pozi limeniishia na wanaojua kusoma kati ya mistari wanaweza kutueleza zaidi.
Wakina Sugu, Komando jdee wakalalua, wakaja kwa Ruby mtoto wa akaenda kuwapigia mpaka magoti wakaja kwa Mond manina zao hapo ndipo wamechemka kabisaaaaaaHizi chuki walianza Clouds wenyewe. Wasanii wengi sana wamelia kwa sababu yao. Wameumiza familia za watu wengi sana. Malipo huwa ni hapa hapa duniani. Acha niende Nangwanda kwenye Tamasha la Wasanii
Chalii! Hakuna cha Moja KUBWA wala moja ndogo, senz zenu!Nasemajeee, NI MOJA TU KUBWA
Nimejaribu kuangalia sijaiona mkuuNenda Tweeter na mtafute Carol Ndosi.Barua hiyo ni ya kawaida sana ila cha kuangalia kwa macho manne ni pale Le Mutuz anapomwandikia Carol kwa niaba ya Mkuu wa mkoa,hapo pozi limeniishia na wanaojua kusoma kati ya mistari wanaweza kutueleza zaidi.
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Chalii! Hakuna cha Moja KUBWA wala moja ndogo, senz zenu!
Noma sanawewe kama mtu ukisikia anaitwa mlezi wa wasafi unategemea atoe ruhusa ya wachafu kufanya show kwenye himaya yake
Humu sidhani kama ililetwa niliona twitter hukoLakini barua si imejieleza kuwa kutokana na malalamiko ya wagonjwa au? lakini mawingu wenyewe ni watu wafitina sana acha nawao yawakute na si kweli kwamba tamasha la Wasafi festival limepooza! hii si kweli amini nakuambia ile Team ya WCB tu inatosha kuutingisha kila mkoa na fiesta asiambulie ata nusu ya WCB kwenye show.
Hapa rushwa tu, hakuna kodi wala nini!Lipeni kodi kubwa watakubali, hapa kodi tu
Hao jamaa wana fitna laana nakumbuka ile show ya Hip Hop iliyoanzishwa na Kalapina ilingia mitini Clouds walishindwa hata kumpigia hata matangazo ... Ila clouds mi naona ipumzike kuna wasanii wakali tunawajuwa lakini hawa hit ,, Na kuna show moja ya Djs ilianzishwa na adamu mchovu ilifanyika lakini majibu ya majaji na majibu ya mashabiki .. eti majaji wakachagua mtu wao wanao mtakaLakini barua si imejieleza kuwa kutokana na malalamiko ya wagonjwa au? lakini mawingu wenyewe ni watu wafitina sana acha nawao yawakute na si kweli kwamba tamasha la Wasafi festival limepooza! hii si kweli amini nakuambia ile Team ya WCB tu inatosha kuutingisha kila mkoa na fiesta asiambulie ata nusu ya WCB kwenye show.
Sikuisoma mkuu .. Alimwambia nini !!?Uliisoma barua ya wasi ya Carol ndosi jana kwa Paul makonda?
Ibandike mkuuUliisoma barua ya wasi ya Carol ndosi jana kwa Paul makonda?
Hizi chuki walianza Clouds wenyewe. Wasanii wengi sana wamelia kwa sababu yao. Wameumiza familia za watu wengi sana. Malipo huwa ni hapa hapa duniani. Acha niende Nangwanda kwenye Tamasha la Wasanii
Alikua anamkumbusha jinsi alivyozuia tamasha lake la nyama choma bila sababu za msingi siku chache kabla halijafanyika!Sikuisoma mkuu .. Alimwambia nini !!?
Tabu ipo pale pale ni MOJA KUBWA.Duuuh ni kweli kwamba kila muwamba Ngoma huvutia upande wake,NI kipindi kirefu Sana toka CMG ianze Tamasha la Fiesta lakin Leo inasadikika kuwa Tamasha hili linasitishwa kwa sababu zisizo za msingi ambazo zilionekana kwenye barua iliyotumwa Jana humu.
Swali je serikali ni kwanini walitoa kibali Cha Tamasha hili toka mwanzo na kwanini hawakuiona effect au hayo malalamiko hayakutolewa toka juzi ili kuwezesha CMG kujipanga?ni swali ambalo halitakuwa na majibu ya msingi ila ifike wakti fitna ziishe kwa sababu inawezekana pia kuondolewa kwa Tamasha la Fiesta ikapelekea kupooza kwa Tamasha la Wasafi sote ni Watanzania,tayari mshaondoa ajira za kina Rostam,Weusi inakuwaje Kama wakishajipanga au kumuahidi mwenye nyumba Kama atalupwa baaada ya wiki,
This is not fair.
Mpaka sasa Hatuamini Tunachokiona.