Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Yap nimesomaUliisoma barua ya wasi ya Carol ndosi jana kwa Paul makonda?
Vizuri sana Mkuu!Yap nimesoma
😁Vizuri sana Mkuu!
Basi tutafute popcorn na Mo faya ya baridi tuone huu mtanange utaishia wapi!
tena tunaburuzwa tukiwa tumeshikana mikono bila kufungwa kambaCHUKI HAZIFAI KWA MAENDELEO YA WATU AU TAIFA, ACHA WENYE MAMLAKA WATUBURUZE TUUUU
Lakini barua si imejieleza kuwa kutokana na malalamiko ya wagonjwa au? lakini mawingu wenyewe ni watu wafitina sana acha nawao yawakute na si kweli kwamba tamasha la Wasafi festival limepooza! hii si kweli amini nakuambia ile Team ya WCB tu inatosha kuutingisha kila mkoa na fiesta asiambulie ata nusu ya WCB kwenye show.Duuuh ni kweli kwamba kila muwamba Ngoma huvutia upande wake,NI kipindi kirefu Sana toka CMG ianze Tamasha la Fiesta lakin Leo inasadikika kuwa Tamasha hili linasitishwa kwa sababu zisizo za msingi ambazo zilionekana kwenye barua iliyotumwa Jana humu.
Swali je serikali ni kwanini walitoa kibali Cha Tamasha hili toka mwanzo na kwanini hawakuiona effect au hayo malalamiko hayakutolewa toka juzi ili kuwezesha CMG kujipanga?ni swali ambalo halitakuwa na majibu ya msingi ila ifike wakti fitna ziishe kwa sababu inawezekana pia kuondolewa kwa Tamasha la Fiesta ikapelekea kupooza kwa Tamasha la Wasafi sote ni Watanzania,tayari mshaondoa ajira za kina Rostam,Weusi inakuwaje Kama wakishajipanga au kumuahidi mwenye nyumba Kama atalupwa baaada ya wiki,
This is not fair.
Mpaka sasa Hatuamini Tunachokiona.
Ipo sehem.gani tuipitieUliisoma barua ya wasi ya Carol ndosi jana kwa Paul makonda?
Hapana!Uliisoma barua ya wasi ya Carol ndosi jana kwa Paul makonda?
Nenda Tweeter na mtafute Carol Ndosi.Barua hiyo ni ya kawaida sana ila cha kuangalia kwa macho manne ni pale Le Mutuz anapomwandikia Carol kwa niaba ya Mkuu wa mkoa,hapo pozi limeniishia na wanaojua kusoma kati ya mistari wanaweza kutueleza zaidi.Ipo sehem.gani tuipitie
Ok ahsante ngoja nikaichekiNenda Tweeter na mtafute Carol Ndosi.Barua hiyo ni ya kawaida sana ila cha kuangalia kwa macho manne ni pale Le Mutuz anapomwandikia Carol kwa niaba ya Mkuu wa mkoa,hapo pozi limeniishia na wanaojua kusoma kati ya mistari wanaweza kutueleza zaidi.