Hawaamini kama wamepona

duh!! ilikua wapi hiyo? kuna baadhi ya watu watakua wameathirika kisaikolojia hawatapenda kusafiri tena walipoona wameponea kwenye tundu la sindano..
 
Hivi haya mabasi ya TEACHER yanasafiri kutoka wapi kwenda wapi?
 
duh!! ilikua wapi hiyo? kuna baadhi ya watu watakua wameathirika kisaikolojia hawatapenda kusafiri tena walipoona wameponea kwenye tundu la sindano..
hilo daraja kama la mto simiyu kma unaelekea serengeti [emoji4] [emoji4]
 
Duh.....hatari. Happy abiria watakuwa walitokea dirishani.
 
huu uzi upo humu! Ni mwaka Jana mwezi wa 8 wapi hapo! Hilo bus linaitwa KiPACHA
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…