Kitty Galore
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 345
- 100
Ubaguzi sio mzuri dada….acha hizoKumekuwa na unyanyasaji wa wananchi katika ardhi yao huku viongozi wakifumbia macho mambo haya.
Jana ITV nimeona wananchi wakifukuzwa kwenye mashamba yao walipozaliwa wakiambiwa wampishe mwekezaji, hivi mimi mTanzania naweza kwenda Africa ya kusini, au Ulaya na kufukuza watu sehemu yao kisa nimekwenda kuwekeza? Wafanyakazi kwenye makampuni ya wazungu wananyanyasika, wengi permit ni fake, uhamiaji wanakwenda kuchukua rushwa siku hadi siku, nini kifanyike ili wananchi tunufaike na matunda ya nchi yetu?
Mheshimiwa rais Magufuli, kuna sehemu unahujumiwa na watendaji wako, wahamiaji ni wengi sana wasio na vibali na tunawajua na tupo tayari kutoa ushirikiano
Mh Mwigulu Nchemba, tunahitaji muongozo wako kuhusu hili
Tufike mahali tukomeshe ukoloni mamboleo
Hatubagui tufuate sheria za nchiUbaguzi sio mzuri dada….acha hizo
Kairipoti kwenye mikutano ya RC, saaasa hivi watahamia Segerea
Sasa hapo mzungu ana kosa gani???????
Yeye ni mwekezaji kafuata taratibu zote za kisheria na kapatiwa ardhi ya kuwekeza ,unachomlaumu mzungu ni kitu gani
Nendeni kwa mkuu wa wilaya muelezeni ,huyo mzungu from no where hawezi kujiamulia lzm alifuata taratibu na akapatiwa
Mkuu wa wilaya atakuwa na majibu yenu
Permit fake ,ukipelekwa mahakamani ujibu hiyo tuhuma utatoa ushahidi au ndio kama yule jamaa aliyemzushia mwamunyange kawekewa sumu, kapandishwa kizimbani anatia huruma na kuomba huruma ya waTanzania..
Tatizo si umasikini wetu ila tunashindwa kulinda haki zetu, kama tungezisimamia na kuzilinda haki zetu kama mataifa mengine yafanyavyo huo upuuuzi usingetokea aslani!Tatizo ni umasikini wetu na kua na viongozi wasiokua na hofu ya mungu/Maadili.