GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,648
- 10,843
Siwafahamu wahanga, lakini baada ya kusikiliza mathila yaliyowapata, nimejikuta nalengwalengwa na machozi!
Kama mimi mwanaume, tena nisiye na ukaribu wowote na wahanga nimeumia hivi, watu wao wa karibu wapo katika hali gani?
Wazazi wao wanateseka kwa kiasi gani?
Fikiri jinsi wenzi wao wanavyolia!
Ona jinsi watu wao wa karibu wanavyoumia!
Hivi watawala hawaguswi na mapito magumu wanayowapitisha watu wasio na hatia?
Baadhi ya watu wamegeuka kuwa katili kuzidi wanyama?
Au yale aliyoyasema Rais Peter Botha wa Afrika Kusini yanatimia Tanzania?