Hawa watu nimewavulia kofia....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Hebu tazama clip hii, hususan yule jamaa anayeruka ruka kwenye majengo. aisee kama ni mwizi hamuwezi kumkamata
 
Last edited by a moderator:
eti nchi yangu imeblockiwa kuangalia hii video. imeniuma sana. mia
 
mwenye mpira ni noma,navuta picha angepewa namba uwanjani ingekwaje?
 
hawa jamaa ni kiboko...hivi sio mazingaombwe ya kidhungu kweli haya?
 
Sasa nenda kwenye post yangu ya kule habari na hoja mchanganyiko inaitwa super humans: the unbreakable man...!!! Utashangaa na roho yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…