Hawa wanawake siyo wema

Mkuu hata kama ni story hewa ila ni ukweli mtupu !!!!!
Dada zetu wa Kinyamwezi na Kisukuma asilimia 95% ndiyio TABIA zao, tena bora huyo,kuna wengine mpaka unaoa kabisa ndiyo anafungua makucha yake ...HATARI SANA !!!!!!!
 
Ni kweli mkuu
 
haha hahha kama ningekuwa mimi ndiye huyo jaffary nisingejizuia Ningecheka tu mamaee...""....
 
Kweli wewe ni msukuma....! Angekua ni mwanaume wa kule kwetu huyo binti ilibidi achezee vibao
 
Ibra wa kasamwa anaeishi tbr ni ndugu yako! Mbona hicho kisa kama nataka kukifahamu.
 
Ingekuwa ni mimi wakati wa kuaga ningewaaga kisukuma kudadadeki yaani asingelala
Wewe ndiyo umetoa suluhisho.Yaani dunia wangeiona chungu siku hiyo.Siku hiyo wangepata tabu sana,zaidi ya kipigo cha mbwa koko.
 
Truth
 
Mkuu hata kama ni story hewa ila ni ukweli mtupu !!!!!
Dada zetu wa Kinyamwezi na Kisukuma asilimia 95% ndiyio TABIA zao, tena bora huyo,kuna wengine mpaka unaoa kabisa ndiyo anafungua makucha yake ...HATARI SANA !!!!!!!
Refer kaka yangu. Alioa mwanamke wa kinyamwezi, akahakikisha kabisa anamgenga kaka na familia yetu. Kafanikiwa, ili baada ya muda kafungua makucha... brother anatamani hata atoroke.
 
Awa watoto wa kinyamwenzi ni wazuri sana ila sasa wakubadilikie utanyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…