Hawa wanawake siyo wema

Kuku na mayai yake
 
Sasa na wewe unasemwa ,unasikia demu akikusema vibaya.. kisha anakupiga kibomu indirect na ww unatoa hela.

Ningekuwa rafik yako ningekulamba ngumi ya shingo upate akili.
 
dada alifanya magic na wewe kweli ukatoa elfu 5,duh!
Ata mm ningelitoa ila tambua nimeshajua ukweli, lazima utumie busara, sasa kama angelitumia hasira kama ana nia ya kulipiza kisasi asingefanikiwa
 
sasa wewe kwakuwa luga uliijua ulitakiwa mwisho kabisa wakati mnaondoka uage kwa kisukuma fasaha, hapo nahisi ange aibika zaidi demu. afu ukampotezea mazima.
 
Hata demiss kawahi kunifanyia hivi hivi
 
Utaakikisha aje anakupenda kweli
Kama ukiwa na shida atajitoa kivyovyote kwaajili yako, atakuwa anapenda ku-spend muda mwingi na wewe, anakuwa na wivu na wewe, hata kama huna hela kwake sio ishu, atakutambulisha kwa ndugu na marafiki zake na vitu kama hivyo,
Ukiona tu tabia za mwanamke wako ziko kinyume na nilizo taja hapa mkuu pita kushoto mapema, muache kama alivyo,
 
Yap hata mi ningefanya hivo alafu siku ya mwisho nawakutanisha wote na rafik yake halafu unawaaga kwa kinyamwezi ili kuwaharibu saikolojia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…