Nami naunga mkono hoja!Tigo muhimu
Sawa,lakini kwani kuna shida yoyote?Naona hii trend inayoendelea bongo inashika kasi kila sehemu
Trend ya kuongea au kuandika vitu ambavyo jinsia nyingine wanadhaniwa kupendelea
Kwa wanaumewanaongelea vitu ambavyo vitawafanya waonekane ni magentle men kwa wanawake
Mf.mwanaume lazima utafute pesa,wanaume wapeni pesa wanawake
Wachungaji kuzungumzia zaidi mahusiano kuliko kupinga maovu,dhambi,upendo
Na hapa kwa wachungaji wengi wanawake utaona wakiwasema sana wanawake wenzao na kuonesha wao wanawafaham vizuri wanaume
Wanawake kuwasema wanawake wenzao ili kujipatia umaarufu kwa jinsia ya kiume mf..hii post na za dada fulani anatrend tik tok
NB: mf hii post thread itapendwa na wanaume zaidi ya 90% na itachukiwa na wanawake zaidi ya 90%
😂😂😂😂😂Wakumbushe pia wengine hatutaki maviuno yao kama feni mbovu.Unapelekewa amapiano kaa kwa kutulia maviuno ya nini sasa?!
Upewe ulinzi kuanzia sasa, na sanamu lako Itajadaliwa lijengwe wapi!Embu tujaribu mbinu hii, kuwapea game sehemu yoyote, I mean sebuleni, chumbani , jikoni, kwenye gari, bafuni... yaan popote. Hata mkitoka mkienda porini kutembelea mashamba yenu ... shikilia mti benua mti apige kimoja Cha faster. Kama unampenda kuwa Malaya tu kwake.. no way out.
Mbinu nyingine usichague wakati, yaan kama mpo pamoja tu mpe I mean iwe asubuhi, mchana au jion usiku pia, Leo akitaka mchana poa, kesho usiku poa... usimpangie eti nitakupa kesho mwenzio kataka Leo...😳mpe kile Cha chap Kwa haraka 😉 egamia hata kochi pandisha kasketi hako ashushe kabukta kake hako kagumu🤣 (kama ulimwachia afue hawajui kufua hao wanaacha tuboksa na povu ikikauka inakakamaa kama inataka kusimama Dede🙄)
Jambo lingine ni usisubiri aanze yeye kudai haki ya ndoa, anza hata wewe mwenyewe.... hizi aibu utafikiri ndio mnaanza kutongozana zinacost aisee.... hata usipotamka ukishika tu pahala pale akakutazama usoni na macho yakaongea aisee, mbona anavua chap Kwa haraka hawasubirigi hao🙌
Mtu mwingine anaweza kusema tutakuwa tunashindia ngono tu☹️... maskini 🥺ndio maana ulioa, uliolewa la sivyo ungekaa hata na nduguzo.....
Na mwisho ni matumiz mazuri ya ulimi, kama unampenda jishushe, usipande juu kabla yake Wala baada ya yeye kupanda juu.... Magumu yapo but relax... nimejifunza kutoka kwangu mwenyewe... Kuna neno nishawahi tamkiwa, Kali, baya, chungu.... japo aliomba msamaha but linanotafuna mpaka Leo..... utaomba msamaha Kwa kuropoka neno baya utaambiwa umesamehewa lakini unakuwa umemwachia kovu mwenzio... Kwa mfano mwenzio ameanza kuwa na tatizo la nguvu za kiume, siku mmekwazana,wewe ukasema"nawe unajiona mwanaume katika wanaume na😏 juu" Aisee huyo jamaa hatokuja akae sawa mpaka anaingia kaburini, yaan atakuwa akitaka kuchomeka tu,anakumbuka neno lako Ivo anajua unamchora tu hapo!🙄☹️. Nina mtoto wa kiume naumia wanapoumizwa, wengine hata hawakupata malezi mazuri toka Kwa wazazi wao tuwalee hata Kwa nusu bas kama kina mama, Kuna muda mruhusu mlie pamoja anapokuwa na maswahibu toka job, wanakutana na mengi wanakosa pa kulalamikia😭 daah, hata sielewi naumia na Nini wakati niliumizwa nao😭😭😭😠😏
NB: Tumieni vyombo Ivo jamani, kufa kwaja .... daah!🤨
Tena mbussusu imebinuka inakutazama 🤣🤣🤣🤣Mbususu 🤣
🤣🥰🥰🥰❤️ Kuna watu wataona Bora wakose pesa mfukoni kuliko kumilki 10 yenye sura ya to yeye teacher🤣🙌Sanamu lako lijengwe pale Ikulu ya Chamwino, picha yako iwekwe kwenye noti ya elfu kumi! Naagiza JWTZ wakupe ulinzi haraka sana!!!
Wewe mwanamke utaniua kwa ngonoEmbu tujaribu mbinu hii, kuwapea game sehemu yoyote, I mean sebuleni, chumbani , jikoni, kwenye gari, bafuni... yaan popote. Hata mkitoka mkienda porini kutembelea mashamba yenu ... shikilia mti benua mti apige kimoja Cha faster. Kama unampenda kuwa Malaya tu kwake.. no way out.