Hahaaaaa nimecheka sana hapo kwenye suruali. Mabinti katakuwa na laana haka sio kuandika hivyo. Infact umri wako ni sawa na binti yangu Gift. Haya bwana ngoja niwaache muendelee kuelimishana kuhusu ngono nisiwakwaze
Pendaneni!! nimependa sana aya ya mwisho,, wapo wengi waliokosa upendo wa kweli, tupo wengi sana tunao gugumia maumivu mioyoni,, ni wengi sana!! tujifunze kupendana