Hawa wanasema nini

Hawa wanasema nini

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,217
Hawa jamaa wanaongea nini kwa style hii?Nape ndio ujana umeshamtoka au walishikwa wakiongea kitu kibaya dhidi ya watanzania?
 

Attachments

  • 2012jkawaaganecdodoma4.jpg
    2012jkawaaganecdodoma4.jpg
    17.4 KB · Views: 517
haya mazungumzo sijui kama yamefikisha malengo yao.
 
Wezi tu hao, kaeni macho.

Siku hizi sera haziendi bila barakashia

mkama sijui kafia wapi?kweli CDm wana laani vibaya.Walimsifia kuwa ni mjaa na msomi aijuaye CCM nje ndani.Sijui ni CCM wameamua rudisha chama kwa wakongwe na wazoefu n ahivyo itakuwa tishio sasa tunaona.
 
Back
Top Bottom