Asante mkuu, nimeshafika home... ila wamepiga risasi mpaka police wa geti la BOT opp na mageraza wamejificha.
Chakusahangaza gari wanayotumia ni corola ipo chin kweli lakin hakuna police waliofata watu hao.
Mkuu naomba uwafatilie mpaka watakapo ishia wakishuka wahoji hii nchi wao ni kama nani mpaka wanarusha risasi hovyo hewani"sisi kama wana JF tutakulinda!!
Acha kuwa kiponza alaf wakimshoot atapost wapi update nyingine kuzimu
Al quaeda,boko haram walianza kama panya road au mbwa mwitu wakikua mtajua tu swala muda
Na kama yametokea karibu na ubalozi wa Zambia basi iko namna. Kunaofisi nyeti hapo.hao uliowaona ni jamaa wa makumbusho nadhani umenisoma next tym ukiwaona kaa pembeni wale hawana masihara
mkuu we pita tu uendelee na maisha hii nchi ina wenyewe...nilishangazwa na habari nilizozikuta arusha mitaa inaitwa Fire karibu na unga ltd, kuna majambazi yamezaliwa pale ( majina nayatunza),na yanajulikana mpaka central lakini hakuna wa kuyafanya kitu. Kuna binti alibakwa relini pale, akaenda kusema kwao kuwa kawaona waliombaka wameelekea nyumba gani, baba yake akaongozana naye kuwajua kufika akakuta ni wale jamaa, alichofanya eti akawauliza ,'nilikuwa nauliza njia ya kwenda kwa balozi'...hakuthubutu hata kuhoji walichomfanya mwanae, ukienda polisi wanawakamata, next day wako nje alaf wanakutafta na kukupiga mpaka ufe...hii nchi ni ya tofauti!! Alaf pakitokea msako ikajulikana wezi wamekimbilia sehemu flani ,then polisi uenda fire kuwakodi hawa majambazi ili wakawakamate hao wengine, yani ni vituko duniani!!mmoja wao kamuoa dada wa jamaa aliyenipa habari, eti kamuoa kwa nguvu/lazima na kawataadharisha siku akikimbia ataenda kwao na kuwaua wote...uyo binti akirudigi tu home kusalimia wanamfukuza arudi kwa mmewe haraka isije kuwa shida, vyombo vya usalama angaika na hawa watu jamani, ni hatari katika jamii!!
Wakuu nilikuwa nimeongozana na gari white corola namba nimeshindwa kukalili vizuri, wamefika maeneo ya ubalozi wa Zambia wameanza kurusha risasi hewani kama wehu vile yani wanatamba tu mpaka maeneo ya BOT mwisho wakaingia njia ya kitega uchumi na kuendelea.
Hakuna hata police wa kuwafuata.
Sijui ni wakina nani wanatamba hivi karibu na ikulu na BOT!!
Kova uko wapi?
=kukariri
Tumekuelewa bibi
Yuko kinondoni mkwajuni analinda pikipiki, akamatwe basi tuone,mkuu we pita tu uendelee na maisha hii nchi ina wenyewe...nilishangazwa na habari nilizozikuta arusha mitaa inaitwa Fire karibu na unga ltd, kuna majambazi yamezaliwa pale ( majina nayatunza),na yanajulikana mpaka central lakini hakuna wa kuyafanya kitu. Kuna binti alibakwa relini pale, akaenda kusema kwao kuwa kawaona waliombaka wameelekea nyumba gani, baba yake akaongozana naye kuwajua kufika akakuta ni wale jamaa, alichofanya eti akawauliza ,'nilikuwa nauliza njia ya kwenda kwa balozi'...hakuthubutu hata kuhoji walichomfanya mwanae, ukienda polisi wanawakamata, next day wako nje alaf wanakutafta na kukupiga mpaka ufe...hii nchi ni ya tofauti!! Alaf pakitokea msako ikajulikana wezi wamekimbilia sehemu flani ,then polisi uenda fire kuwakodi hawa majambazi ili wakawakamate hao wengine, yani ni vituko duniani!!mmoja wao kamuoa dada wa jamaa aliyenipa habari, eti kamuoa kwa nguvu/lazima na kawataadharisha siku akikimbia ataenda kwao na kuwaua wote...uyo binti akirudigi tu home kusalimia wanamfukuza arudi kwa mmewe haraka isije kuwa shida, vyombo vya usalama angaika na hawa watu jamani, ni hatari katika jamii!!