Mkuu naomba uwafatilie mpaka watakapo ishia wakishuka wahoji hii nchi wao ni kama nani mpaka wanarusha risasi hovyo hewani"sisi kama wana JF tutakulinda!!
Hahahahahahaha coment zingine dah!Mkuu naomba uwafatilie mpaka watakapo ishia wakishuka wahoji hii nchi wao ni kama nani mpaka wanarusha risasi hovyo hewani"sisi kama wana JF tutakulinda!!
labda kama zimeisha zikiwemo watamjibu kwa mikono
Wakuu nilikuwa nimeongoza na gari white corola no nimeshindwa kukalili vizuri wamefika maeneo ya ubarozi wa zambia wameanza kurusha risasi hewani kama weu vile yani wanatamba tu mpaka maeneo ya BOT mwisho wakaingia njia ya kitega uchumi na kuendelea, na hakuna ata police kuwafata.
Sijui ni kinani wanatamba hivi karibu na ikulu na BOT
Kova uko wapi?
Hahahahahahaha coment zingine dah!
Hahaha ndugu wetu huyu amepita Jkt ujue!
Sijaelewa dhamira yao mpaka sasa ni nini!!, wameingia kitega uchumi mpaka mirambo street then wakatokea ohio wakachapa mwendo... yan bado nashanga sana wameanza ubarozi wa zambia mpaka BOT nje.
Mkuu kwanza pongezi kwa kuwanyatia na kuwachunguza hao jamaa ambao hatujui dhamira yao ni nini haswaa nakutujuza" fika home salama ukaingalie familia kaka nadhan hao ndio wenye Nchi!!