Hawa Wanaolazimisha Ugomvi wa Kidini, Wanatarajia kunufaika na Nini?

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
6,512
Reaction score
15,098
Waliokuwa karibu na Hayati Mwalimu Nyerere wanasema Mwalimu Nyerere alikuwa tayari kumsamehe kiongpzi yeyote akifanya makosa mengine, lakini siyo makosa matatu. Ilikuwa ukifanya moja ya makosa haya matatu, hata ungekuwa nani, atakufurusha. Makosa hayo ilikuwa ni:
1. Kupalilia chuki za kidini.
2. Kupalilia chuki za kikabila
3. Kupalilia chuki dhidi ya Muungano.

Leo mambo yamegeuka kabisa, kiongozi mkuu, ndiye anakuwa kiongozi wa kupalilia chuki za kidini. Sijui anatarajia kunufaika vipi na chuki za kidini!

Hao wakristo anaowachukia na kuona kama wanamchukia, anashindwa kujua kuwa, kwa kiasi kikubwa wakristo ndiyo wameilinda amani ya nchi hii kwa kiasi kikubwa. Ebu fikiria:

a. Makanisa yamewahi kuchomwa moto na waislam aenye misimamo mikali, lakini wakristo hawakuwahi kuchoma hata msikiti mmoja. Tujiulize ingekuwaje kama misikiti ingechomwa moto na wakristo??

2. Padre wa kanisa Katoliki kule Zanzibar aliuawa na waislam wenye misamo mikali, lakini wakatoliki hawakumshambulia shekhe wala ustadhi ili kulipa kisasi. Fikiria kama ingekuwa ni shekhe ameuawa na wakatoliki, unadhani kungetokea nini?

3. Waislam wenye misimamo mikali waliwahi kuzichoma biblia, fikiria kama ingekuwa ni wakristo wamechoma quran, kungetokea nini.

Kwa kweli Samia afanye makosa yote lakini asitufarakanishe kwa misingi ya kidini.

Watanzania walio wengi kabisa, dini hazina uhusiano wowote katika mahusiano yao ya kila siku, yawe ni mahusiano yale ya kimaadili au yanayokiuka uadilifu, ndiyo maana hata vijana wetu wanapotafuta girlfriends, suala la dini linakuja mwishoni kabisa, hasa wanapotaka kuoana na kufunga ndoa.
 
Waliokuwa karibu na Hayati Mwalimu Nyerere wanasema Mwalimu Nyerere alikuwa tayari kumsamehe kiongpzi yeyote akifanya makosa mengine, lakini siyo makosa matatu. Ilikuwa ukifanya moja ya makosa haya matatu, hata ungekuwa nani, atakufurusha. Makosa hayo ilikuwa ni:
1. Kupalilia chuki za kidini.
2. Kupalilia chuki za kikabila
3. Kupalilia chuki dhidi ya Muungano.

Leo mambo yamegeuka kabisa, kiongozi mkuu, ndiye anakuwa kiongozi wa kupalilia chuki za kidini. Sijui anatarajia kunufaika vipi na chuki za kidini!

Hao wakristo anaowachukia na kuona kama wanamchukia, anashindwa kujua kuwa, kwa kiasi kikubwa wakristo ndiyo wameilinda amani ya nchi hii kwa kiasi kikubwa. Ebu fikiria:

a. Makanisa yamewahi kuchomwa moto na waislam aenye misimamo mikali, lakini wakristo hawakuwahi kuchoma hata msikiti mmoja. Tujiulize ingekuwaje kama misikiti ingechomwa moto na wakristo??

2. Padre wa kanisa Katoliki kule Zanzibar aliuawa na waislam wenye misamo mikali, lakini wakatoliki hawakumshambulia shekhe wala ustadhi ili kulipa kisasi. Fikiria kama ingekuwa ni shekhe ameuawa na wakatoliki, unadhani kungetokea nini?

3. Waislam wenye misimamo mikali waliwahi kuzichoma biblia, fikiria kama ingekuwa ni wakristo wamechoma quran, kungetokea nini.

Kwa kweli Samia afanye makosa yote lakini asitufarakanishe kwa misingi ya kidini.
Ni kwamba watu wameshindwa kuongoza nchi hivyo sasa wanaegemea kwenye kutugawa ili wapate upenyo
 
Waling'ang'ana wao wachinje mifugo kwenye Magulio,machinjioni na mabuchani..
Ikaenda ikaenda wakaachiwa ki roho safi.
Muslim anachinja mkristo anakula.

Mihadhara ilikuwa vuta ni kuvute,weka niweke ,akitupa jiwe anatupa kokoto ...akiitisha muhadhara muislam week hii ..itakayofuata wanaitisha wakristo.

Lkn Yote haya Kwa kwa Amri moja ya mamlaka yakazikwa,
Sasa tumeanza kwa amri moja yameachwa na utawala yaendelee kufukuta mpk yatoe povu na kulipuka ndo waje na Sera ya umoja wa kitaifa,waonekane ma shujaa,.
Ukikosoa kusema kweli unakuwa adui wao.
Bure kabisa😏
 
Waliokuwa karibu na Hayati Mwalimu Nyerere wanasema Mwalimu Nyerere alikuwa tayari kumsamehe kiongpzi yeyote akifanya makosa mengine, lakini siyo makosa matatu. Ilikuwa ukifanya moja ya makosa haya matatu, hata ungekuwa nani, atakufurusha. Makosa hayo ilikuwa ni:
1. Kupalilia chuki za kidini.
2. Kupalilia chuki za kikabila
3. Kupalilia chuki dhidi ya Muungano.

Leo mambo yamegeuka kabisa, kiongozi mkuu, ndiye anakuwa kiongozi wa kupalilia chuki za kidini. Sijui anatarajia kunufaika vipi na chuki za kidini!

Hao wakristo anaowachukia na kuona kama wanamchukia, anashindwa kujua kuwa, kwa kiasi kikubwa wakristo ndiyo wameilinda amani ya nchi hii kwa kiasi kikubwa. Ebu fikiria:

a. Makanisa yamewahi kuchomwa moto na waislam aenye misimamo mikali, lakini wakristo hawakuwahi kuchoma hata msikiti mmoja. Tujiulize ingekuwaje kama misikiti ingechomwa moto na wakristo??

2. Padre wa kanisa Katoliki kule Zanzibar aliuawa na waislam wenye misamo mikali, lakini wakatoliki hawakumshambulia shekhe wala ustadhi ili kulipa kisasi. Fikiria kama ingekuwa ni shekhe ameuawa na wakatoliki, unadhani kungetokea nini?

3. Waislam wenye misimamo mikali waliwahi kuzichoma biblia, fikiria kama ingekuwa ni wakristo wamechoma quran, kungetokea nini.

Kwa kweli Samia afanye makosa yote lakini asitufarakanishe kwa misingi ya kidini.
Kawaulize Samuya aka Idi Amin Mama na Kikwekwe
 
Back
Top Bottom