C CORONAZ Senior Member Joined Apr 26, 2020 Posts 179 Reaction score 346 Dec 13, 2023 #1 Nawaza tu kwa sauti, hivi wanaume wanaoringia six pack zao kwa kuvaa nguo zinazobana ili waonekane wana tofauti gani na wanawake wanaoringia sura (uso) na makalio makubwa (msambwanda)?
Nawaza tu kwa sauti, hivi wanaume wanaoringia six pack zao kwa kuvaa nguo zinazobana ili waonekane wana tofauti gani na wanawake wanaoringia sura (uso) na makalio makubwa (msambwanda)?