Hawa wana maana gani na Majina yao!

Hawa wana maana gani na Majina yao!

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Huwa nafikiria hawa jamaa wana maana gani na majina yao
1- Blue Evy mtoto wa kike wa J-Z na Beyonce
2- Herper Seven Beckam mtoto wa kike wa beckam na mkewe Victoria
yako mengia tuanze na hayo wachambuzi
natumai wengi huwa wanapenda kujua kusudio la hawa jamaa
 
'Shimbandele' lina maana gani? Ya ngoswe mwachie ngoswe ali mradi hakuzuii kunywa maji.
 
Huwa nafikiria hawa jamaa wana maana gani na majina yao
1- Blue Evy mtoto wa kike wa J-Z na Beyonce
2- Herper Seven Beckam mtoto wa kike wa beckam na mkewe Victoria
yako mengia tuanze na hayo wachambuzi
natumai wengi huwa wanapenda kujua kusudio la hawa jamaa

Blue Evy ni kwamba ujauzito wa mtoto huyu aliupata siku ya Jumatatu usiku.
 
Majina ya kichawichawi wala sijihangaishi nayo, jina langu la Mwanjaa lanitosha
 
Blue Ivy hilo jina mimi nimelipenda sana na North West mtoto wa Yeezus na Kim
 
msije mkaniuliza jana langu la kabanga linamaana gani ....
 
Last edited by a moderator:
Kuna sehemu nilisoma(nafikiri ni gazeti la tazama tz,sikumbuki vyema) kuwa Blue Ivy ukibadilisha mpangilio wa maneno from last to first unapata neno Eulb Yvi ambalo (kwenye hiyo document) ni neno (kati ya kigiriki au kiyunani) linamaanisha lucifer's daughter.
pia kwenye hiyo document waliandika kuwa hata wimbo wa mwanamziki wa US snoppy,anawimbo unaitwa dogsinatas ambayo ukibadili mpangilio unapata satan is....
 
umenipa mwanga
 
kabufu!! Nimemkumbuka sana huyu jamaa sijui yuwapi, kadoda nimekutana naye juzi ila halipend hlo jina na mtagombana ukimuita,kachiki alienda dar zamani kidogo !!

Hahahhaa majina ya wa KUNYUMBA hayooo
 
Kuna sehemu nilisoma(nafikiri
ni gazeti la tazama tz,sikumbuki vyema) kuwa Blue Ivy ukibadilisha
mpangilio wa maneno from last to first unapata neno Eulb Yvi ambalo
(kwenye hiyo document) ni neno (kati ya kigiriki au kiyunani)
linamaanisha lucifer's daughter.
pia kwenye hiyo document waliandika kuwa hata wimbo wa mwanamziki wa US
snoppy,anawimbo unaitwa dogsinatas ambayo ukibadili mpangilio unapata
satan is....

Ndio madhara ya elimu ya madrasa.!
 
Back
Top Bottom