Hawa wamemaliza sikuu yao hivii, tutumie picha ya huko wamemalizaje?

kaseva

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
473
305
Pasakaaaaaaa
1459177645387.jpg
 
Du pombe sio chai ndo maana sijawahi shawishika kunywa pombe saabu sioni faida zaidi ya kunitesha na kunizalilisha
 
Kweli magufuri kazi anayo hizi zama za hapa kazi tu bado kuna watu wanatandika mavituzi mpaka wanazima kabisa ngoja tuje tuwatumbue
 
Back
Top Bottom