Hawa wameingiaje sekondari?

Stevemike

Senior Member
Mar 12, 2011
117
15
Waja JF mnisaidie. Kama siku mbili zimepita nilisikia magazetini kuwa mkoa fulani wamepatikana wanafunzi wengi wa shule za sekondari hawajui kusoma na kuandika. Hivi, wamefikaje sec.? Mtihani wa darasa la 7 walifaulu kwa njia ipi. Hainingii akilini ndugu zangu.
 
tuwapeleke wapi sasa si wakakae tu huko seco za kata kuongeza idadi
 
na jinsi mtihani wa kidato cha pili ulivyopunguzwa nguvu,yani form four leavers waliofeli watakuwa wengi ile mbaya.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…