Hawa walitokea michepukoni au??

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,960
Wacheki waliova vaa..

and they dont care..

 
Mkuu, Una maana hata huyu mtarajiwa ametoka mchepuko?!..
 
Teh teh teh,sipati picha akiingia jumba jeupe kama prezda,alafu asisitize picha yake iwe kwenye noti,itapendezeza kwa kweli..
 
Hii kadhia nayo ilipita,daa!!kwa kweli kila jambo lina wakati wake,na kati ya kadhia ambazo huyu mzee wa gombe hatazisahau ni pamoja na hii!
 
Huyu wa juu amefanya kama jokes watu wacheki, soma nyuso.
Ila wassira sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…