Hawa Wahindi hawana Huruma na Wanyama jamani?

Hawa Wahindi hawana Huruma na Wanyama jamani?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,958
11873527_790949074355801_7344527662454080831_n.jpg


Bora Afike tu hii ni ukatili dhidi ya Wanyama
 

Attachments

  • Bora afike tu.jpg
    Bora afike tu.jpg
    26.7 KB · Views: 657
Mchina kwa kuwahurumia Punda huko Dodoma akajenga center ya kuwaondoa duniani wabongo wamempiga majungu!
 
Huu ni ukatili uliopindukia, hata hapa kwetu ukstili wa aina hii upo...angalia wanyama km ng'ombe wanavojazwa kwny malori wanapoletwa toka mikoani!
 
Wahindi ni makatili sana kwa wanyama, ukiona pia wale tembo wao wanavyowachoma miguuni na mishale ili watembee utawahurumia hao tembo!
 
Unawazungumzia wahindi ilhali hapa kwetu huko Arusha na Kondoa mambo haya ni ya kawaida? Punda anafungwa nira hadi anapata donda kubwa shingoni na hakuna anayejali. Juzi hapa Clouds TV imeonesha Morogoro the same issue, watu wengine wana akili kama hao punda
 
Back
Top Bottom