Hawa Wahaya Growing up African wanaboa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa Wahaya Growing up African wanaboa...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tuko, Jun 3, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Yan wameamua kuuza sura tu kwenye hii EATV, kipindi chao hakina maana, hakina ujumbe wala hakifurahishi. Yan kila mtu analalamika hawa watu kupewa mda wa kupotezea watu kwenye hii tv kipenz kwa vijana.
   
Loading...