hawa wabunge vipi?

mwakajila

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
188
Reaction score
30
jana kuna baadhi ya wabunge wanataka kikundi cha baikoko aka khanga moko kifungiwe eti kinapotosha maadili ya mtanzania...hawa jamaa vipi shida zote hizi tulizonazo watanzania wanafikiri tutajiliwaza wapi?khanga moko wanatuburudisha na kutuliwaza vizuri sana...Jamani msitunyang'anye hata hiki kidogo tulichanacho...

Nawasilisha.
 
Pole sana mkuu naona wamegusa maslahi yako!
 
wabunge wengi ni wanafiki wao ndo wanaongoza kwenda kuangalia haya mambo halafu wanajifanya kuyapinga!
 
Wanatumia masaburi kufikiria wakati vichwa wanaoteshea nywele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…