mkuu unatumia browser gan, simu gan, matumizi yako yapi, kuna vitu vingi tu kuwa muwazi hapa tunasolve matatizo si sehemu ya kulalamika
Mimi sasa nimeamua kutumia Airtel ya tosha coz natumia 3000/- napata dk 175, sms 1400 na MB 500 hizi MB natumia kwenye pc na simu yani natumia kwa wiki nzima wala simalizi zote air time sms na hizo MB. Nafikiri jaribu Airtel yatosha
ningeweza kutumia kama wewe MB 500 per week ingekuwa raha sana simu tu kwa siku na kata MB 100
duh, kwa week nna 2Gigs kwenye sim, kwenye Modem kuna Unlimited and still its not enough! God help me out of this addictionningeweza kutumia kama wewe MB 500 per week ingekuwa raha sana simu tu kwa siku na kata MB 100
duh, kwa week nna 2Gigs kwenye sim, kwenye Modem kuna Unlimited and still its not enough! God help me out of this addiction
on top of wat u got, bado naamka saa kumi ya usiku nikimbie pale Mdegree nikashikilie wifi ya speed za ukweli. & sio kwamba nina usafiri wa uhakika, ni mguu mpaka pale.. :ranger:
on top of wat u got, bado naamka saa kumi ya usiku nikimbie pale Mdegree nikashikilie wifi ya speed za ukweli. & sio kwamba nina usafiri wa uhakika, ni mguu mpaka pale.. :ranger:
Hv jaman mbna me cku kama mbil zmepita yan niknunua kifurush wanakomb muda mfupi wanamaliza wakati zaman nilikuwa niknunua 25mb nilikuwa hadi na bakisaha,na huwa c downloda ni kwaajil ya ku surf tu.
Au nawenyewe wamepandsha naul????,maana cwaelewelewi,kuna cku nikanunua data kama 50mb yan ndan ya 1h kwisha wakat natumia kisimu tu.
Naomb anayejua au kama tatzo n cm yangu anisaidie.
smu yako itakuwa niya mchina
Mod watu wanatukanana hukuuuuuuu!!!!
Kwenda zako,