Hawa viumbe watatuua sasa..

Huyu hata kama ana ngoma potelea mbali, inzi kufa kwenye kidonda sio ishu, ni ajali kama ajali nyengine tu
 
Mtu akikuambia kasahau kuvaa zana huwezi hata kumlaumu..Wadad funikeni viungo vyenu jamani duuuuuuu

Chura maji hawavai nguo.
Itawazuia kunesanesa.
Ila sema za ukweli sijawahi ona chura
Fidodido.
 
Na tutakwisha kweli mungu aliwaleta hawa hapa ulimwenguni ili tupukutike na hakuna namna tutaisha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…