Hawa viumbe shida tupu

Vitalis Konga

Senior Member
Sep 22, 2018
127
231
IMG_20181208_124429.jpeg
 
Yani sawa sawa na gari unaenda kupaki ulale unaamka asubui side mirrol unakuta inaning'inia upande yan shida.
 
Muacheni dada wa watu hapo akiamka anamalizia kutoa na hiyo ya upande wa kulia.

Pia umetukosea wanawake tulio wengi na hicho kichwa cha habari chako.
 
Sio vizuri kumpiga mtu picha akiwa usingizini na kuja kuirusha huku kwenye mitandao bila ridhaa yake.

Huu ni udhalilishaji!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom