Yaani wameni shangaza. Hawa jamaa sijui wamerogwa " Au wana dhani kwamba wadau wa soccer hatujielewi..!?Pele
Ronaldo
Ronaldinho
Garincha
Rivaldo
Romario
Hata nikiendelea mpaka wa 200 bado simkuti neymar
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaLabda kama wanaangalia kigezo cha sura na kubadiri mitindo ya nywele
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa " Mkuu hawa jamaa nina wasi wasi watakuwa wamechukua mlungula toka kwenye management ya neymar ili wazidi kum push kibiasharaTafuta kujua mmiliki wa hilo jarida huenda ana vinasaba vya mirembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam mkuu hii ni siasa ya mpira ili jamaa waweze kumtangaza zaidi neymar na wao wapate kufanya biashara zaidi "Usikute Nike wametia mkono wao hapo , maana ndio wadhamini wakuu wa Neymar.
Kwamba neymar ni sahihi kuwa nchezaji namba mbili katika ubora wa muda wote nchini brazil "
Kwamba neymar ni sahihi kuwa nchezaji namba mbili katika ubora wa muda wote nchini brazil "
Au sawa hiyo umemaanisha nini mkuu !?
Sent using Jamii Forums mobile app