Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,470
Msitari wa pambizo said ,
Huu mradi umekua kero mpaka inatia hasira kuuzungumzia
Toka zamani kwani tatizo la usafiri huo limeanza sasa au huko kuzuia daladala zisiende route hiyo kumeanza sasa?Siyo mradi huo tu, kwa Sasa, hakuna mradi wenye unafuu.
Hili ni la mda mrefu, na sijaona mtu wakutatua hizi kero.Toka zamani kwani tatizo la usafiri huo limeanza sasa au huko kuzuia daladala zisiende route hiyo kumeanza sasa?
Hali ilipofikia sasa CCM wametuona Watanzania ni mandondocha wanafanya wanavyojisikia kwakuwa wameajiaminisha hatuwezi kuwafanya chochote na kweli kwa sababu hatuwezi kuwatoa kupitia sanduku la kura hata iweje wao ndiyo watatangazwa kuwa washindi hivyo kama ikitokea siku Watanzania watasema wamechoka na maloloso ya CCM watajua cha kufanya vinginevyo tutaendelea kulalamika kupitia humu mitandaoni huku wenzetu wameziba masikio,ebu fikiria leo hii imefikia hatua wanaona chochote wanachofanya katika kutekeleza wajibu wao wao wanaona ni kama wanatoa msaada kwa Watanzania ndiyo maana kila kukicha wanatoa shukurani kwa mwenyekiti wao kwa kutoa hiki au kile kwa sababu wao hawaoni kama serikali ina wajibu kwa wananchi wake bali wanachokiona wao ni misaada tu inayotolewa na mwenyekiti wao ambaye ni Rais wa nchi japo hawasemi hayo mabilioni anayotoa kama msaada(kwa mujibu wao) anayatoa wapi! Lakini wanayafanya yote hayo kwa kuwa tu wanatudharau wananchi na wanatuona mabwege nazi.Hili ni la mda mrefu, na sijaona mtu wakutatua hizi kero.
• 🤔, Nina wasiwasi na ule mwenge unaotembezwa kila mkoa😀,Hali ilipofikia sasa CCM wametuona Watanzania ni mandondocha wanafanya wanavyojisikia kwakuwa wameajiaminisha hatuwezi kuwafanya chochote na kweli kwa sababu hatuwezi kuwatoa kupitia sanduku la kura hata iweje wao ndiyo watatangazwa kuwa washindi hivyo kama ikitokea siku Watanzania watasema wamechoka na maloloso ya CCM watajua cha kufanya vinginevyo tutaendelea kulalamika kupitia humu mitandaoni huku wenzetu wameziba masikio,ebu fikiria leo hii imefikia hatua wanaona chochote wanachofanya katika kutekeleza wajibu wao wao wanaona ni kama wanatoa msaada kwa Watanzania ndiyo maana kila kukicha wanatoa shukurani kwa mwenyekiti wao kwa kutoa hiki au kile kwa sababu wao hawaoni kama serikali ina wajibu kwa wananchi wake bali wanachokiona wao ni misaada tu inayotolewa na mwenyekiti wao ambaye ni Rais wa nchi japo hawasemi hayo mabilioni anayotoa kama msaada(kwa mujibu wao) anayatoa wapi! Lakini wanayafanya yote hayo kwa kuwa tu wanatudharau wananchi na wanatuona mabwege nazi.
je week 2 zimepita? Na kama zimepita wamemdharau?Eti mkuu wa mkoa akajifanya kuwapa wiki 2 anataka kuona hakuna basi bovu na yote yako barabarani
Yaani yule mzee sura yake msanii msaniiiiiiii
Ila waTz tuna shida sana. Yesu tu arudi kwa kweli. Watu wanaotakiwa kuwa serious ndio bosheni balaaa.
Walimdharau siku ile ile hata kabla hayaachia kipaza sautije week 2 zimepita? Na kama zimepita wamemdharau?
Ule mwenge ni uchawi tu hauna faida yoyote nyingine nchi hii tunaabudu mizimu bila kujijua.• 🤔, Nina wasiwasi na ule mwenge unaotembezwa kila mkoa😀,
• Sisi watanzania ni wapole sana, hata viongozi walete ujinga kiasi gani, kuandamana hatuwezi, tunabaki kusikitika mitandaoni ,
Sio kwa Tanzania hii, watu ni waoga sana na watumwa kwa wanasiasaKwanini msiandamane? Unakuta watu wamekaa mle kituoni kama mazuzu, chomeni moto hata basi moja akili zitawakaa sawa!
Sio tu huo mradi, miradi ambayo inasuasua ipewe JWTZ kusimamia tuone matokeo chanya.Yaani huwa nashindwa kuielewa Serikali hii ya Awamu ya 6 ya Mh Samia,..yaani CHANGAMOTO ndogo kama hiyo mnashindwa vipi kuitatua?
Mna instrumentals zote..ndio mnasema ninyi eti MNAJALI wanyonge..KWELI?
Jaribuni basi kufanya haya;
1.Ongezeni mzabuni mwingine binafsi awasaidie,kama sheria ni shida,badilisheni
2.Ruhusuni mabasi/daladala zirejee njia hizo
3.Wapeni JWTZ wasimamie,kwani hali ni zaidi ya DHARURA
Hivi huwa hamuoni AIBU?..
CCM, huwaambii kitu kuhusu mwenge, 😀Ule mwenge ni uchawi tu hauna faida yoyote nyingine nchi hii tunaabudu mizimu bila kujijua.