Msaranga
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 956
- 227
Hawa Tipper ni wasaani sana Wizara ya kazi iwachunguze walituita kwenye interview halafu baada ya cku moja tukapigiwa cmu interview imeahirishwa tutatangaziwa baadae baada ya week wakanipigia cmu eti pole sana haukuchaguliwa lakini tutakuweka kwenye data base yetu ikitokea nafasi. Nikawauliza interview ilifanyika lini? Kwa sababu mliiairisha na mbona humkutuarifu cku ya interview? Kumbe walikua na watu wao cku ya kuairisha interview ilikua hujuma ili waudhurie wachache ndugu zao. Naomba kuwasilisha